Kazi ya Piriton
Posti hii inahusu zaidi kazi ya Piriton katika kutibu mzio au akeji ni dawa ambayo kwa lingine huitwa chlorpheniramine Maleate.
1. Piriton ni mojawapo ya dawa ambayo utibu mzio kama wa mafua, ufanya kazi kwa kumletea mtu yeyote mwenye mafua na kusababisha kupona kuweza kuendelea huku mgonjwa akiwa amesinzia na baadae kama siku tatu kama mta anatumia Piriton anapona na kuendelea na kazi zake za kawaida.
2.Hii dawa huwa ipo katika mfumo wa vidonge , ambapo kila kidonge huwa na 4mg. Kwa mtu anayetumia 4mg anatumia kwa masaa sita au masa nane ukiwa na chakula au baada ya kuchukua chakula kiwango cha kawaida kwa mtu kwa mzima kiwango cha kawaida ni 24 mg kwa mtu mzima.
3.Dozi ya mtoto utofautiana kulingana na umri wa mtoto kuanzia mwaka mmoja mpaka miaka miwili mtoto anatumia milligram moja kwa siku, kuanzia miaka miwili mpaka mitano mtoto anatumia milligram moja kwa masaa manne mpaka sita kiwango cha kawaida ni millgramasita kwa kawaida, kuanzia miaka sita mpaka kumi na miwili mtoto anatumia milligram mbili kuanzia masaa manne mpaka sita kiwango cha kawaida ni milligram kumi na mbili.
4. Pamoja na matumizi ya kawaida sawa hii ya Piriton haitumiwi kwa baadhi ya wa watu kama vile watoto waliozaliwa wakiwa mjini, watoto wadogo waliozaliwa na wale walio na matatizo ya kifua hasa Asthma kwa hiyo tunapaswa kuwa makini ili tusiweze kuleta madhara zaidi kwa hiyo wazazi na walezi wawe makini katika watoto wadogo wasije kupata matatizo mbalimbali.
5. Kuna matokeo mbalimbali yanayoweza kujitokeza katika kutumia dawa hizi kama vile kupata usingizi, kushusha presha, na pengine kama mgonjwa amepewa kwenye mishipa ya damu anaweza kupata maumivu kwenye sehemu aliyopitishiwa sindano, kwa hiyo tunajua kuwa Piriton usaidia kutibu aleji au mzio kwa hiyo tunapaswa kuitumia kwa maagizo ya daktari na wataalamu mbalimbali wa afya na tusitumie kiholela dawa hii bali tupate ushauri kabla ya kuitumia.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 ai web app 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Upungufu wa protini na dalili zake
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa protini na dalili zake
Soma Zaidi...Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake
Posti hii inahusu zaidi Aina kuu tatu za vyakula na kazi zake, hii ni Aina tatu za vyakula na kazi zake jinsi zinavyofanya kazi, hufanya kazi kama ifuatavyo,
Soma Zaidi...Faida za kula mayai
Posti hii inahusu zaidi faida anazozipata mtu anayekula mayai hasa wakati wa kifua kinywa, tunajua wazi kuwa mayai yana kiwango kikubwa cha protini pamoja na hayo kuna faida nyingi za kutumia mayai hasa wakati wa asubuhi kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...