Somo hili linakwenda kukuletea faida za kiafya za kula korosho
Faida za korosho
1. Husaidia kuimarisha afya ya mfumo wa misuli na mfumo wa neva
2. Hupunguza hatari ya kupata kisukari
3. Husaidia matibabu ya saratani
4. Husaidia katika utengenezwaji wa seli hai nyekundu za damu
5. Huimarisha mfumo wa kinga
6. Husaidia kuimarisha afya ya kinywa (meno) na mifupa
7. Hupunguza athari za maradhi ya anemia yaani upungufu wa oksijeni mwilini.
8. Hupunguza hatari ya kutengeneza vijiwe kwenye kibofu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Madhara ya upungufu wa protini ni mengi kiafya. Miongoni mwa madhara hayo ni..
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kw
Soma Zaidi...