Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Faida za kiafya za viazi mbatata
1. ni chakula kizuri kwa afya ya mifupa
2. Husaidia kushusha presha ya damu
3. Ni chakula kizuri kwa afya ya moyo
4. Husaidia katika afya ya ubongo kauka kutunza kumbukumbu, kujifunza, kurelax
5. Husaidia katika ukuaji wa mtoto
6. Uboreshaji wa mfumo wa fahamu na kuboresha seli
7. Husaidia katika mapambano dhidi ya saratani
8. Huzuia tatizo la kukosa choo
9. Husaidia kupunguza uzito
10. Ni chakula kizuri kwa afya ya ngozi
11. Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga
12. Viazi mbatata vina virutubisho kama vitamini C na vitamini B6. pia fati, wanga na protini. Pia kuna madini ya chuma, zinc, potassium, magnesium, phosphorus na mengineyo mengi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwa na fangasi ukeni, ni vitu ambavyo usababisha fangasi ukeni kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea faida za embe na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Zijuwe sababu kuu za kuwepo kwa maumivu ya tumbo baada ya kula chakula
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...tangawizi ni katika viungio vya mboga vyenye faida, pia ni kinywaji, zijuwe leo faida za tangawizi
Soma Zaidi...Vitamini A ni katika vitamini fat soluble vitamin akama vile retinol, retinal, retinoic acid na beta-carotene.
Soma Zaidi...