Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope
Faida za kula topetope
1. Tope tope lina virutubisho Kama vitamin C na B pia madini ya potassium na magnesium
2. Husaidia kulinda mwili dhidi ya pumu
3. Hudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu
4. Hufanya moyo kua kwenye afya njema
5. Hushusha presha ya damu
6. Huboresha na kuimarisha afya ya mifupa
7. Husaidia katika kuipa mwili nguvu
8. Hufanya tezi ya thyroid kuwa salama
9. Huzuia matatizo ya ujauzito
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea kazi za virutubisho vya protini mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Usiwashangae wanaokula lima, kwa hakika kuna faida kubwa kiafya kula limao, je unazijuwa faida hizo
Soma Zaidi...Vyakula hivi vinaweza kuwa na hatai kwenye afya ya meno ama kuharibu kabisa meno.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya kula
Soma Zaidi...