Vyakula vya vitamini E na faida zake

Vyakula vya vitamini E na faida zake

Vyakula vya vitamini E na faida zake

VYAKULA VYA VITAMINI E

  1. Karanga
  2. Palachichi
  3. Maziwa
  4. Samaki
  5. Siagi
  6. Viazi mbatata
  7. Mchele
  8. Siagi
  9. Korosho
  10. Spinachi
  11. Alizeti
  12. Mayai
  13. Maini
  14. Nyama

 

Kazi za vitamini E

  1. Husaidia kuondosha sumu za kemikali na vyakula mwilin
  2. Husaidia katika utengenezwaji wa utando wa seli mwilini
  3. Husaidia katika utengenezwaji wa utando maeneo mbalimbali ya mwili kama neva
  4. Husaidia katika ukuaji mzuri wa mifupa


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 6279

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 web hosting     👉2 ai web app     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 Bongolite - Game zone - Play free game     👉5 Dua za Mitume na Manabii     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

VINYWAJI SALAMA KWA MWENYE KISUKARI

Kuchaguwa vinywaji si jambo rahisi, lakini inabidi iwe hivyo kama una tatizo la kisukari. Je unasumbuka kujuwa vinywaji salama? makala hii ni kwa ajili yako, hapa tutaona vinywaji ambavyo ni salama kwa mwenye kisukari.

Soma Zaidi...
Vyakula vya wanga

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya wanga na umuhimu wake mwilini

Soma Zaidi...
Vyakula vyenye vitamini C kwa wingi

Somo hili linakwenda kukuletea baadhi ya vyakula vyenye vitamini C kwa wingi

Soma Zaidi...
Vijuwe vyakula vya madini na kazi za madini mwilini

Post hii inakwenda kukieleza kuhusu vyakula vya madini na kazi zake mwilini

Soma Zaidi...
FAIDA ZA MAJI MWILINI

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...