Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju
Faida za ukwaju
1. Ukwaju una virutubisho Kama vile vitamin C K, B6, B1, B2 na B3 pia madini ya chuma, potassium, magnesium na phosphorus
2. Husaidia kuimarisha afya ya moyo
3. Husaidia kushuSha presha ya damu
4. Husaidia mwili kupambana na mashambulizi ya bakteria, fangasi na virusi
5. Husaidia kulinda afya ya ini
6. Huzuia kukosa kwa choo na kuharisha
7. Husaidia wajawazito kuondoa kichefuchefu
8. Husaidia kudhibiti uzito
9. Huzuia kuzeeka mapema
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi juu ya madini ya zinki na faida zake katika mwili wa binadamu,
Soma Zaidi...Embe ni katika matunda atamu na yenye faida kubwa kiafya, soma makala hii hadi mwisho
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya vitamin E
Soma Zaidi...Kama tulivyosema hapo juu kuwa afya ni kuwa mzima kimwili na kiakili.
Soma Zaidi...