picha

Faida za kiafya za kula Topetope

Faida za kiafya za kula Topetope



Faida za kiafya za tope tope (accustard apple au sweetsop)

  1. tope tope lina virutubisho kama vitamini C na B. pia lina madini ya potassium na magnessium
  2. Husaidia kulinda mwili dhidi ya pumu
  3. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu
  4. Kufanya moyo uwe katika afya salama
  5. Hushusha presha ya damu
  6. Husaidia katika kuupa mwili nguvu
  7. Huboresha na kuimaisha afya ya mifupa
  8. Hufanya tezi ya thyroid iwe salama
  9. Huzuia matatizo ya ujauzito


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 3474

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 Dua za Mitume na Manabii    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Kitabu cha Afya   

Post zinazofanana:

Faida za kiafya za kula kunazi/ lote tree

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree

Soma Zaidi...
Zijuwe kazi na faida za Vitamini C mwilini

Vitamini C ni moja kati ya vitamini muhimu sana katika kuboresha ufanyaji kazi wa mfumowa kinga mwilini yaani immune system. Katika post hii utakwenda kujifunza kazi za vitamini C mwilini

Soma Zaidi...
JITIBU KWA KITUNGUU THAUMU: faida za kiafya za kitunguu thaumu

Kitunguu thaumu ni katika viungo vya mboga na chakula.

Soma Zaidi...
Faida za limao au ndimu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ndimu au limao

Soma Zaidi...
Zijuwe faida za kula njegere

zijuwe faida za kula njegere kiafya na umuhimu wa kula jegere pia jifunze njegere zina kazi gani mwilini?

Soma Zaidi...
Faida za kafya za kula asali

Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali

Soma Zaidi...