Tezi za lymph huanza kuonyesha dalili za kuwa mwili upo katika mapambano dhidi ya vijidudu vya maradhi. Ishara ni pale utakapoona tezi za lymph zina maumivu. Tezi hizi hupatikana kwenye mapaja, kwapa nashingo.
Swali:
Mafidodo (mafindofindo) au tonsils kweye koo je inaweza ikawa Ni moja kati ya dalil za ukimw.
Jibu:
Mafindofindo na tonsil watu wwngi wanashindwa kmutofautisha na dalili za mwanzo za HIV. Kabla yavkuanza kujibu swali kwanza nifahamishe kuwa kuona dalili za HIV haimaanishi eti ndio umeathirika. Hizo ni dalili tu zinaweza kuwani za ugonjwa mwingine.
Miongoni mwa dalili za mwanzo za HIV ni pamoja na kuvimba na kuuma kwa tezi za lymph. Tezi hizi zipo kwenye sehemu ya juu ya mapaja karibia na sehemu za siri. Tezi hii gufahamika sana kwa jina la mtoki.
👉Tezi nyingine ibaoataikanavkwenye makwapa. Na nyingine nivmaeneo ya shingoni. Tezi hizi zinapouma huashiria kuwamwili upo kwenye mapambano.
👉Sasa dalili za HIV hutokea ndani ya wiki 2 mapaka 6 baada ya kuoata maambukizi. Hivyo kama utaona dalili hii nje ya siku hizi haiwezi kuwa ni vvu.
👉Pia kwa tezi ya shingoni hatuzungumzii koo la chakula. Koo la chakuka kenyewe linaweza kuvimva, kuwasha ama kuuma kama kuna mashambukizi ya bajteria, fangasi ama virusi.
👉Mwishi niseme kuwa dalili yeyite ya HIV haimaanishi kuwa mtu aneoata maambukizi. Bila vioimo huwezi kujuwa kuwa una maambukizi.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Posti hii inakwendavkukufundisha madhara unayoweza kuyapata unapokula chakula cgenye chumvi nyingi
Soma Zaidi...Virutubisho vya protini vina kazi nyingi mwilini. Zifuatazo ndio kazi protini mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula zaituni/ Olive
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vimpasavyo mgonjwa wa kisukari
Soma Zaidi...