VYAKULA VYA VITAMINI D
- Chanzo kikuu cha vitamini D ni mwanga wa jua, vyanzo vingine katika vyakula nu:-
- Mayai
- Maziwa
- Maini
- Uyoga
Faida za vitamini D
- Kusaidia unyonzwaji wa madini kutoka kwenye chakula kwenda kwenye damu
- Hudaidia kuboresha afya ya mifupa
- Mifupa kuwa imara, madhubuti na isiyopasuka kiurahisi
- Hudaidia kwa afya ya moyo na mishipa ya damu
- Pia husaidia kupunguza uwezekano wa kupata saratani