Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kupambana na saratani
VYAKULA VYA KUPAMBANA NA SARATANIKansa ni katika magonjwa yanayosumbuwa kwa kiasi kikubwa leo duniani. Kansa huweza kusababishwa na vitu mbalimbali ikiwemo uvutaji wa sigara kwa 31%, vyakula kwa 37%, pombe kwa 3% na nyingine nyingi. Katika sababu hizi vyakula huchukuwa nafasi kubwa katika kusababisha kansa.Mwaka 2015 watu milioni 90.5 waligungulika kuwa na kansa. Inakadiriwa kuwa kila mwaka takribani watu milioni 14.1 wanaupata kansa kila mwaka. Watu milioni 15.7 walikufa na kansa ambayo ni sawa na asilimia 15.7% ya vifo vyote mwaka huo.
1. VITUNGUU SAUMU ( GARLIC) Hivi vina kiasi kikubwa cha madini ya salfa (sulphur compounds) ambayo husaidia kuimarisha mfumo wa afya mwilini (immune system) Pia wanasayansi wanafahamu kuwa kitunguu thaumu kinasaidia katika kupunguza uwezekano wa kupata kansa ya tumbo.
2. Samaki Tafiti za kisayansi zilizofanyika Australia zimegunduwa kuwa ulaji wa samaki mara 4 au zaidi humuepusha mtu na kansa ya damu ( blood cancers leukemia, myekoma, and non- Hodgkin’s lymphoma). Samaki wanaoshauriwa zaidi ni wale wenye mafuta kwa wingi kama salmon.Kama ilivyoosheshwa kuwa mpangilio mbovu wa vyakula na uvutaji wa sigara huchangia kwa kiasi kikubwa kupata kansa, leo tutakuletea baadhi ya vykula ambavyo vinasadikika kupambana na kansa. Vyakila hivi huweza kuzuia seli za kansa kutengenezwa ndani ya mwili na kutowa msaada wa kupambana na zo . Vipo vyakula vingi tuu lakini kwa uchache tunakuletea hivi kwa leo;-
3. Apple (maepo) Matunda haya yanafahamika kwa uwezo wake mkubwa wa kuuwa seli za kansa. Tafiti za kisayansi zilizofanywa nchini Ujerumani zinathibitisha uwepo wa procyanidins ambayo hufahamika kudhibiti seli za kansa kutengenezwa ndani ya mwili.
4. Avocado (palachichi) Matunda haya pia husaidia kwa kiwango kikubwa kupambana na seli za kansa. Fat iliyoko kwenye matunda haya huweza kusaidia kwa iwango kikubwa kupambana na kansa.
5. Kabichi ( cabbage) Kabichi hujulikana kwa kuwa na bioflavonoids kemikali ambazo hupambana na seli za kansa. Kabichi kusaidia kupambana na kansa ya tumbo kansa ya matiti na aina zingine za kansa.
6. Karoti ( carrots) Karoti zina alpha-carotene na bioflavonoids ambazo husaidia katika kupambana na seli za kansa. Karoti huweza kupambana hasa na kansa ya ini. Wanasayansi pia wanatahadharisha matumizi ya karoti kwa kiasi kikubwa kwa mtu anayevuta sigara.
7.Tende Tende hujulikana kuwa na polyphenols ambazo husaidia kupambana na kansa kwa kiwango kikubwa. Vitamin B12 na fiber katika tende husaidi kwa kuiwango kupambana na aina mbalimbali za kansa.
8. Mayai yana vitamin D kwa kiwango kukubwa. Vitamin hivi pia hufahamika kwa uwezo wake wa kupambana na seli za kansa.
9. Tangawizi
10. Komamanga
11. njegere MWISHO Tungependa kutoa ushauri kwa dada na ndugu hao ambao huvuta na kunywa pombe kwamba haya yote yana kemikali ambazo zinajulikana kwa kuwa na uwezo wa kusababisha kansa. Kwa hivyo wanapaswa kuchukua maandalizi kabla hali inakuwa mbaya zaidi katika afya yao.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Unaijuwa maana ya virutubisho vya protini, na kazi zake mwilini. Soma zaidi hapa
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.
Soma Zaidi...Tufaha ni katika matunda adimu na matamu, je unazijuwa faida zake kkiafya?
Soma Zaidi...kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula papai
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za upungufu wa iodini ambapo kitaalamu hujulikana Kama goiter. Goiter Ni Sababu ya kawaida ya goiter duniani kote ni ukosefu wa iodini katika chakula. Nchini Marekani, ambako utumiaji wa chumvi yenye iodini ni j
Soma Zaidi...Utafahamu faida za vitamini C mwilini pamoja na kujuwa umuhimu wa vitamini C
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kw
Soma Zaidi...