VYAKULA VYA WANGA
- Mahindi
- Mtama
- Mihogo
- Viazi
- Ngano
- Mikate
- Mtama
- Mchele
- Keki
- Krosho
- Karanga
- Ndizi
- Nyama
- Mayai
- Maziwa
Kazi za wanga
- Kazi kuu ya wanga ni kutupatia nguvu yaani nishati
- Husaidia katika kuvunjavunja fati mwilini
- Hupunguza matumizi ya protini kwa ajili ya kuzalisha nishati
- Hutumika katika kutengenezea bidhaa na madawa