Post hii inahusu zaidi baadhi ya vyakula ambavyo vinaweza kutumika ili kuweza kuweka ini kwenye hali yake ya kawaida.
1. Kitunguu swaumu.
Kwa sababu kwa asili yake kitunguu swaumu uondoa sumu kwenye mwili na pia ulinda ini ili lisiaribiwe na Sumu.
2. Matumizi ya limau.
Pia na limau usaidia sana katika kusafisha ini , matumizi yake ni kunywa maji ya moto yaliyochanganywa na limau asubuhi kabla ya kula chochote usaidia sana kusafisha ini.
3. Tumia mboga za majani mara kwa mara kwa sababu usaidia kusafisha ini .
4. Matumizi ya parachichi na hasa mbegu yake pia usaidia sana kusafisha ini.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukupa faida kuu 5 za kula karanga mbichi katika afya ya mwili wako.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula njegere, kunde, mbaazi, njugu mawe na maharage
Soma Zaidi...Nguzo za uislamu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula bamia
Soma Zaidi...Kama tulivyosema hapo juu kuwa afya ni kuwa mzima kimwili na kiakili.
Soma Zaidi...Kamala hii inakwenda kufundisha vyakuna na vinjwaji salama anavyopaswa kutumia mgonjwa wa vidonda vya tumbo. Pia utajifunza vyakula na vinywaji hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo.
Soma Zaidi...