Madhara ya vyakula vya kisasa

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kuwepo kwa vyakula vya kisasa, vyakula vya kisasa ni vyakula vya madukani ambavyo vimetengenezwa na kuwekwa kwenye maduka

Madhara ya vyakula vya kisasa.

1. Vyakula vya kisasa uleta Magonjwa.

Kwa mfano Magonjwa ya kansa, kisukari na shinikizo la damu.

 

2. Kuwepo kwa maumbo na unene usio wa kawaida kwa watoto, kwa mfano utakuta mtoto mdogo ana kitambi.

 

3. Usababisha matatizo kwa wanawake wanaojifungua na pia kuleta matatizo ya kiu zazi kwa wanawake na wanaume.

 

4. Kwa hiyo sio kwamba tusivitumie ila tusitumie vyakula vya super market mara Kwa maraJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/08/04/Thursday - 12:02:12 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 972


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-