VYAKULA VYA VITAMINI C
- Nyanya
- Mapera
- Pilipili
- Papai
- Tufaha (apple)
- Karoti
- Kitunguu
- Palachichi
- Embe
- Kabichi
- Pensheni
- Zabibu
- Nanasi
- Limao
- Chungwa
- Papai
Faida za vitamini C
- Husaidia katika utengenezwaji wa tishu mwilini
- Husaidia katika uponaji wa vidonda
- Ni antioxidant ambayo husaidi katika kuondosha sumu za vyakula mwilini
- Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga mwilini
- Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya kiseyeye