VYAKULA VYA FATI
- Karanga
- Nazi
- Maziwa
- Mayai
- Korosho
- Palachichi
- Nyama
- Samaki
- Nafaka
Kazi za fati mwilini
- Kazi kuu ya fati mwilini ni kutupatia joto.
- Fati pia ni chanzo cha nishati mwilini
- Utando wa seli umetangenezwa na chembechembe za fati
- Ubongo umetengenezwa na fati kwa asilimia 60
- Fati husaidia katika ubebwaji wa vitamini ndani ya mwili