Vyakula vya vitamini D na faida zake
VYAKULA VYA VITAMINI D
- Chanzo kikuu cha vitamini D ni mwanga wa jua, vyanzo vingine katika vyakula nu:-
- Mayai
- Maziwa
- Maini
- Uyoga
Faida za vitamini D
- Kusaidia unyonzwaji wa madini kutoka kwenye chakula kwenda kwenye damu
- Hudaidia kuboresha afya ya mifupa
- Mifupa kuwa imara, madhubuti na isiyopasuka kiurahisi
- Hudaidia kwa afya ya moyo na mishipa ya damu
- Pia husaidia kupunguza uwezekano wa kupata saratani
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
Share follows: 0 |
Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Kitau cha Fiqh
👉1 ai web app 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Vyakula vya vitamini na faida zake
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamini na faida zake
Soma Zaidi...Faida za kiafya za kula mihogo
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mihogo
Soma Zaidi...Faida za kitunguu thaumu
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kitunguu thaumu
Soma Zaidi...