picha

Faida za kiafya za kula Nyama

Faida za kiafya za kula Nyama



FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA NYAMA

  1. tunapata  vitutubisho kama protini, vitamini na fati
  2. Husaidia kuongeza uzito
  3. Huboresha afya ya mifupa
  4. Husaidia kwa ukuaji bora na wa haraka
  5. Hulinda miili dhidi ya utapia mlo
  6. Madini yaliyomo kwenye nyama husaidia mwili katika kujilinda.
  7. Nyama ni chakula kitami


                   

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 2018-08-01 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1649

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 web hosting    👉2 Kitau cha Fiqh    👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉4 Dua za Mitume na Manabii    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)   

Post zinazofanana:

Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini

hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini

Soma Zaidi...
VYAKULA VYA VITAMIN NA MAJI

Zitambue aina zote za vyakule na ufanye maamuzi yaliyo kuwa sahihi katika uandaaji wa chakula chako

Soma Zaidi...
Zabibu (grapefruit)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za zabibu

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula ukwaju

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ukwaju

Soma Zaidi...
Faida za kula Embe

Embe ni katika matunda atamu na yenye faida kubwa kiafya, soma makala hii hadi mwisho

Soma Zaidi...
Fahamu tiba ya lishe ya ugonjwa wa kisukari

Post hii inahusu zaidi tiba ya lishe ya ugonjwa wa kisukari ni tiba ambayo utumiwa sana na wagonjwa wa kisukari na walio wengi na wamefanikiwa kupona

Soma Zaidi...
Faida za kula viazi mbatata

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula nyama

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama

Soma Zaidi...
Faida za mchaichai/ lemongrass

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mchaichai

Soma Zaidi...