Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kunazi/ lotetree
Faida za kiafya za kula kunazi (lote tree)
? Tumia matunda na majani yake, majani unaweza kuyakausha na kusaga unga wake ama kuyachemsha.
?
1. husaidia katika kupunguza maumivu
2. Husaidia katika kupunguza maumivu ya tumbo
3. Ni tunda zuri kwa afya ya mfumo wa upumuaji
4. Husaidia katika kuondosha sumu za vyakula na makemikali mwilini
5. Husaidia kurefresh mwili
6. Husaidia katika kutibu maradhi ya ngozi
7. Hupunguz maumivu ya chango kwa wakinamama
8. Husaidia katika afya ya hedhi
9. Husaidia katika ujauzito kwa mama na mtoto
10. Husaidia katika kushusha joto la mwili
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi mbatata
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea kazi za virutubisho vya protini mwilini
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula murajabu kea mwenye presha ya kushuka
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha hatari za kupaliwa na asali ama kitu kingine kama muulizaji alivyouliza.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa chai
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuonyesha faida za kula bamia kwa afya afya
Soma Zaidi...