Kurudisha data zilizo potea

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Kurudisha data zilizo potea

UWANJA WA TEKNOLOJIA

Sehemu ya nane

.

                            jifunze kurudisha data zako zlizpotea


 Hutokea wakati mtumiaji wa simu au kompyuta akapoteza data zake lamfa kwa jizifuta au kwa kufomat. pia inaweza kuwa zimefutwa kwenye menori ya nje yaan external memory au kwenye flash.Hivyo katika makala hii tutakuonesha jinsi ya kuzirudisha data hizo. Kwa kawaida kurudisha data hizi sio kazi ndogo hatakidogo kwani kadri muda wa ulipozifuta uanpoendelea kwenda ndo ugumu wa kuzirudisha unawezekana. Au kwa mtumiaji wa kompyuta kama atabadilisha windiw ugumu wa kurudisha data hizi huzidi halikadhalika mtumiaji wa simu kama atarestore simu yake itakuwa viguu data hizi kupatikana kwa usahihi wake. na mtumiaji wa flash kama ataifomat pia itatwia vigumu kuzirudisha data hizo. H ebu sasa tuone jinsi ya kurudisha data zako zilizopotea.

             1.    vipi utarudisha data ulizozipoteza kwa simu?
1. kurudisha contact na data zingine kwa kutumia internet
umepoteza laini usipatetabu ukiwa na simu nyingine ya smart phone nenda SETTING,kisha nenda ACCOUNT&SYNC menu hii inategemea na simu kisha washa on ACCOUNT&SYNC hakikisha email umeweka ileile ambayo ulikuwa ukiitumia katika simu ilopotea au laini ilopotes.huduma hii ni ya bure kwa watumiaji wa email za google yaan @gmail.com. Contact zitakazorudi ni zole ambazo ulizihifadha save kwenye email yako ya google tu. kwa kuwa google haina limit ya kuhifadhi contact zako ningeshauri ukusave contact utumie google email ili iwe rahisi kurudisha data hizo. Pia huduma hii unaweza ukaipata katika website bofya HAPA kwa maelezo zaidi juu ya kuipata huduma hii kwa kutumia website.
pia kwa watumiaji wa mtandao wa TIGO kuna application yao ya tigobackup ambayo itakuwezesha kurudisha data zako zilizopotea ziwikwa ni contact, picha, SMA,video au audio kuipata application hiyo nenda playstore andika TIGOBACKUP au bofya hapa kupata apllication hiyo. Zipo application zingine nyingi tuu zinazoweza kufanya huduma hii ila nyingi katika hizo zinahitaji ulipia bofya hapa upate list ya application hizo. Pia ikumbukwe kuwa application zote nilizotaja hapo juu zinatumia internet kuweza kufanya kazi yake ya kuweka na kurudisha data hizo. pia unaweza kutumia google drive bofya hapa kupata drive playstore au unaweza kutumia drop box bofya hapa kupata drop box play store. hizi mbili ni za free. ni rahisi kutumia nenda playstoe kwa linki za juu haopo kisha download kisha logni kisha anza kuaplod data zako. unaweza kuzifikia data zako hata kama uko bali na simu yako yaani hata kama upo internet cafe unaweza kuzifunguwa data hizo. Hivyo ikipotea umepoteza simu yako data zile zitaendelea kuwepo online, kuzipata LOGIN kisha zidaunlod.
2.kurudisha data bila ya internet
Hapa itahitajika utumie software au application. pia ni vizuri simu yako uweke RECYCLE BIN ili kurahisisha huduma hii. Pia ijulikane kuwa huduma hii inafanya kazi kwa ufasaha katika simu iliyofanyiwa ROOTING. Hivyo root simu yako bofya hapa kupata application za kuroot simu au bofya hapa kujuwa namna ya kuroot bila ya kutumia kompyuta. Post zijazo tutazungumzia jambo hili nini maana ya kuroot na kuna faida gani kufanya hivyo.
kama simu yako imeshafanyiwa reeting nenda playstore ukadaunload application za kurudisha data zilizopotea kwa kufutwa kutoka kwenye simu yako bofya hapa kupata application hizo au bofya hapa kupata recycle bin.
pia unaweza kutumia kompyuta kurudisha data zilizopotea kwa kutumia computer data recovery software kama tutakavyo zungumza tutapoangalia kurudisha dta kwenye flash au external meory.
                  2. kurudisha data zilizopotea kwenye kompyuta
Data za kwenye kompyuta zimaweza kupotea pale zinapofutwa katika recycle bin, au kufomat disk au pindi unapofanya disk partition.Kwa upande wa kompyuta unaweza kurudisha data hizi kwa kutumia internet yaan online au bila ya kutumia internet.
1. Kurudisha kwa kutumia internet
Hapa tunatumia software ambazo zinafanya backup ya data zako kwenye hifadhi inayofanyakazi online. Hapa nitazungumzia software 2 ambazo ni google drive na drop box bofya katika maneno hayo kwa maelezo zaidi.
Google driver" hii inakupa 15 GB za free kuapload data zako. Kwa kutumia hifadhi hii unaweza kuhifadhi data zenye ukubwa wa  GB 15 na unaweza kuongeza GB nyingi zaidi kama ukilipia. H ivyo kama utakuwa umehifadhi data zako hapa pindi ikipotea simu au kopyta au iwa upo mbali na kompyuta yako au simu yako umnaweza kuingia https://www.google.com/drive/  kwa kupata data zako zilizopo google drive au https://www.dropbox.com/?landing=cntl kupata data ulizozihifadhi drop box. Kitu cha msingi ni kuhakiisha kuwa data zako umeziaplod kwenye mitandao husika hivyo ukizitaka utalogin kisha utaanza kuzidownlod au kuzifunguwa bila ya kuzidaunlod. Zipo software zingine ziingi tu kwa kufnya kazi hii ila itahitajika kuzilipia kwa mfano bofya hapa uone software inayoweza kubackup data kuanzia 16 GB, 500 GB mpaka 1000 GB yaan 1TB.
Tokeo la picha la GOOGLE DRIVE
google drive                                drop box                      

 2.Kurudisha data zilizopotea bila ya internet
Hapa tunatumia software za kurudisha data maarufu kama data recovery software click hapa kuziona 19 free data recovery software. kupata zaidi sofwaware hizi kwa free tumia torrentz au bofya hapa
kupata za free. Unachohitajika kufanya hapa ni kudounlod software hizi isha unaziinstall katika kopyuta yako. kisha funguwa software hiyi na menu itayofunguka itakupa maelekezo
  3. Kurudisha data zilizopotea katika memori au flash
kitu cha kufanya chomeka flash au memori yako kwenye kompyuta yako kisha kwa kutumia adapter.
hapa unachotakiwa ni kuwa na software hizi tulizotaja juu hapa kisha unapochaguwa disk ya kuiricover chaguwa extanal hard disk. Kupata software hizi unaweza kutumia link nyingine ya torrentz hii hapa. Ila lazima itambulike kuwa link za torrentz lazima uwe na software ya torrentz ambayo itakufanya udaunlod magnet link, bofya hapa kupata torrentz software. Baada ya kuinstall software hizo ingiza flash au memori yako kisha chaguwa faili unalotaka kulirudisha, kisha chaguwa external disk kisha anza mchakato wako.
Huundo mwisho wa makala hii niliyoikusudia kuelza namna ya kurudisha data zilizopotea katiaka simu, memori au flash.



         › WhatsApp ‹ Whatsapp

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 124

Post zifazofanana:-

Haki na wajibu kwa masikini, mafukara na wasio jiweza
Soma Zaidi...

DUA ZA WAKATI WA SHIDA
DUA ZA WAKATI WA SHIDA 1. Soma Zaidi...

Nasaha za Lut(a.s) kwa Watu Wake
Nabii Lut(a. Soma Zaidi...

DARSA ZA QURAN
DARSA ZA QURAN 1. Soma Zaidi...

michezo
michezo ni katika mambo ambayo mtu anatakiwa asiyakose. Soma Zaidi...

Dawa ya chango na dawa maumivu ya tumbo la hedhi
Nitakujiza dawa ya chango na maumivu ya tumbo lahedhi, dalili zake na njia za kukabiliana na maumivu ya tumbo la chango. Soma Zaidi...

yaliyomo: HUKUMU YA MIM SAKINA, NUN SAKINA, MADA, WAQFU, QALAQALA, TAFKHIM NA TARQIQ, USOMAJI WA QURAN
DARSA ZA TAJWID YALIYOMOSURA YA 01 . Soma Zaidi...

Jinsi Uislamu Ulivyokomesha Biashara ya Utumwa wakati na baada ya Mtume Muhammad (s.a.w)
- Uislamu ulieneza nadharia kuwa wanaadamu wote ni sawa na wote ni watumwa mbele ya Mwenyezi Mungu (s. Soma Zaidi...

FAIDA ZA MATUNDA NA MBOGA MBALIMBALI KWA AFYA
FAIDA ZA MATUNDA Makala hii inakwenda kukuletea faida za matunda mbalimbali na mboga upatikanaji wake na faida zake kiafya. Soma Zaidi...

MAAJABU YA VIUMBE: TEMBO, NYOKA, MBU, SIMBA, CHUI, TAIGA, FARASI, NGAMIA NA WANYAMA WENGINE
Soma Zaidi...

KITABU CHA MATUNDA
Jifunze sifa na aina za matunda, vijuwe viruturubisho Soma Zaidi...

Faida za kiafya za kula Mbegu za mronge
Soma Zaidi...