Navigation Menu



image

Fast

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Fast

UWANJA WA TEKNOLOJIA

Sehemu ya Tatu

.

JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO  IWE FASTA.
tumesha taja baadhi ya mabo yanayofanya simu yako kuwa ipo SLOW sasa hebu tuone kwa ufupi mambo ambayo yatafaya simu yako iwe fasta ifanyae kazi kwa haraka zaidi. Yapo mambo mengi yanayofanya simu yako iwe fasta ila kwa uchache nitakutajia mabo matano ambayo ni:-

1.Ondoa application zote ambazo hauzitumii hasahasa zile ambazo zinaonekana kuchukuwa nafasi kubwa katika simu yako. Unaweza kuzitowa kwa kufanya uninstallation eidha kwa kutumia installer au customer unistallation yaan manualy wewe mwenyewe.

2.Jambo la pili  ni kufuta cached data hizi  ni data zilizohifadhiwa katika simu yako kutoka katika tovuti yaan website au kutoka katika application. Data hizi zinasaidia simu yako ifunguwe tovuti ile bila ya kuload tena. Lengo kubwa la data hizi na kuokowa muda wa kuload pindi unapofunguwa kurasa ileile. Jinsi ya kufuta data hizi inategemea na menu ya simu yako ila unakwena SETTING kisha STOTAGE au APPLICATION kisha CLEAR CACHE. Au unaweza kutumia application za playstore kupata application za kufuta cache au bofya hapa kupata application hizo.

3.Ondowa animation na live background au wallpaper.

4.Restart simu yako. Kuiristat simu ni njia mbadala na ya ufasaha zaidi katika kuifanya simu yako iwe fasta. Na hii ni kwa sababu unaporesrart simu yako inaanza upya kufanya kazi kwani itakuwa imejirifreshi. Hivyo kitendo hiki kitaifanya simu yako iwe na spid.

5.Restore simu yako kwa kufanya factory reset. Hii ni hatuwa ya mwisho zaidi kama simu yako inaendelea kuwa ipo slow na njia zingine zieshindwa. Kureset simu kunahitaji umakini kwani unaweza ukapoteza baadhi ya data zako. Jinsi ya kurestore nenda SETTING kisha SECURITY kinsha RESTORE. Kama itasumbuwa pia unaweza kutumia application kutoka playstore kwa ajili ya factory reset, kwa mpano bofya hapa kupata application hizo. Kwa ufupi haya ni machache ambayo yatakufanya kukusaidia kufanya simu yako iwe na speed katika kutuia.



         › WhatsApp ‹ Whatsapp






           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Mengineyo Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 989


Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Simulizi za Hadithi Audio     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Promo
Kama wewe ni Muandishi mzuri za hadithi au makala za kutoa elimu kwa watu na unataka kazi yako iwafikie watu wengi, au unataka kazi yako iweze kukuingizia kipato, Bongoclass ndio mtatuzi wako sasa. Soma Zaidi...

More
Bila shaka umefurahishwa na huduma zetu, Je unataka huduma zaidi, Bofya kityfe cha Open hapo chini. Soma Zaidi...

bongoclass health
1. Soma Zaidi...

Mbu (mosquito)
Posti hii inakwenda kukupa sifa za mdudu mbu Soma Zaidi...

Kitabu Cha Contact
Unaweza kuwasiliana nasi kwenye mitandao ya kijamii, kwa kutumia jina la Bongclass. Soma Zaidi...

YAJUWE MAAJABU YA MBUZI PORI
1. Soma Zaidi...

viumbe
MAAJABU YA VIUMBE 1. Soma Zaidi...

Tembo ni katika wanyama wenye kushangaza sana.
Tembo wana maajabu makubwa kama utazingatia kwa umakini umbo lake zuri. Soma Zaidi...

WELCOME TO OUR LIBRARY
Karibu sana Kwenye Maktaba Yetu Sasa umefika kwenye maktaba ya vitabu. Soma Zaidi...

Bongoclass ni nini, ipo wapi bongoclass na ni zipi kazi zake?
Bonoclass ni muunganiko wa maneno mawili, kutoka katika lugha mbili yaani lugha ya kiingereza na lugha ya kiswahili. Soma Zaidi...

Tembo
Posti hii inakwenda kukupa sifa za mnyama tembo Soma Zaidi...

MAAJABU NA UWEZO WA CHEETAH
5. Soma Zaidi...