UWANJA WA TEKNOLOJIA

Sehemu ya 11

.

JINSI YA KUTUMA SMS NDEFU
Inatokea wakatifulani simu yako ya smart phone inagoma kutuma sms ndefu na inakwambia "sms converted to multmedia". Hili hutokea sana pale unapokopi sms ndefu kutoka whatsap, fb n.k na kuja kuipest katika uwanja wa meseji za kawaida. Punde badala ya kuipest inabadilishwa kuwa multmedia.

Tatizo hili linaboa zaidi pale unapoipenda text kutoka kwenye mitandao ya kijamii kama whatsap na unataka kushea kwa ambaye si mtumiaji wa mitandao hiyo hivyo hutokea pindi unapoipest tu katika uwanja wa sms za kawaida inakuandikaia sms converted to multmedia na hapa inashindwa kutuma text hiyo kwa njia za kawaida.

vinsi ya kutatuwa tatizo hili.
zipo njia kadhaa za kulifaniskisha hili ila njia ya urahisi na haraka zaidi ni kutuia application za kutuma sms ndefu kwa mfano BIG SMS. fuata hatua zifuatazo kuweza kutatua tatizo hili

1.nenda playstore ukadaunlod big sms au bofya hapa.
2.install big sms
3.open
4.ingiza sms yako na namba ya mpokeaji
5.tuma.         › WhatsApp ‹ Whatsapp