Nini maana na Trojan na ni zipi athari zake kwenye kompyuta ama simu
Sehemu ya pili
.
TOFAUTI YA TROJAN NA VIRUS
Tojan na virus no aina za malware ambozo zinaadhiri kompyuta yako eidha kuharibu mafaili au kuunganisha kompyuta yako na hacker (wezi was kimitandao)
Trojan .
Trojan ni program za kicompyuta (malicious computer programme) hutumika kuhaki kifaa chako kwa kukuunganisha na hackers. Trojan zinafanyakazi zaidi na ilokusudiwa. Yaani unaweza ukafanya installation ya software kwa ajili ya kufanya jambo Fulani lakini tofauti na kufanya kazi hi yo software hii inakuwa na kazi nyengine usio ifahamu ambayo itaadhiri kompyuta yako eidha kuongeza ads au kuunganisha kompyuta yako na mitandao ya hackers. trojan
Virus Hizi,programme nazo zilizoandaliwa kuathiri kompyuta yako kwa mfano kuharibu mafaili au kula window n k. Virus vimeandaliwa ili vimfanye mtumiaji was kompyuta anunue antivirus software. Kwa kifupi virusi ni progam au faili ambazo huweza kuhama kutoka kompyuta moja kwenda nyingine na kuacha athari zake kwenye kompyuta. virus
Kama tulivyosema katika post ya hapo juu vyite hivi vinaweza kuifanya kompyuta yako iwe slow na kuathiri utumiaji wako. Sambamba na hill pia virus vinaeeza kuifanya kompyuta yako ikakolaps window mama visipo tibiwa katika muda sahihi.
Kuondowa virus I na Trojan unahitajika kuwa na antvirus iliyo active . Pia utahitajika kuiskan kompyuta yako yote yaan full scanning. Kisha ondowa software zote zilikopatikana kuwa zinaathiri kompyuta yako. Kisha ristat kompyuta.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 web hosting 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Je nitumie simu yangu wakati inachaji?
Somo hili linakwenda kujibu swali la je nitumie simu yangu wakati inachaji
Soma Zaidi...UTUNZAJI WA BETRY YA KIFAA CHAKO
Namna ya kutunza betri yako iweze kudumu kwa muda mrefu
Soma Zaidi...Matumizi ya OCR katika simu yako
Somo Hili linakuleteq mafunzo ya OCR katika simu yako
Soma Zaidi...teknolojia
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Nini chanzo cha tatizo la computer au simu yako
Posti hii inakwenda kukupa elimu kuhusu chanzo cha tatizo la computer au simu yako
Soma Zaidi...