KOTLIN

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 21: JINSI TA KUTENGENEZA LIBRARY

Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza library yetu wenyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 20: METHOD NA PROPERTIES ZA MAP

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 19: METHOD NA PROPERTIES ZINAZOTUMIKA KWENYE SET

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja na method ambazo hufanya kazi kwenye set.

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 18: STRING NA METHOD ZINAZOTUMIKA KWENYE LIST DATA TYPE.

Katika somo hili tutajifunza method zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Kotlin.

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 17: METHOD NA PROPERTIES ZA NAMBA

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin zinazofanya kazi kwenye namba.

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 16:BAADHI YA METHOD NA PROPERIES ZINAZOFANYA KAZI KWENYE STRING

Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 15: AINZA ZA PARAMETER KWENYE FUNCTION

Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Kotlin function. Pia tutakwenda kuona mambo mengine yanayohusu function

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 14: AINA ZA FUNCTION KWENYE KOTLIN

Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 13: JINSI YA KUANDIKA FUNCTION NA KUWEKA PARAMETER

Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya kuandika function na kuweka parameter kwenye function

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 12: JINSI YA KUPATA USER INPUT

Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 11:JINSI YA KUTUMIA BREAK NA CONTINUE KWENYE LOOP

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Kotlin loop za for loop na while loop.

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 10: JINSI YA KUTUMIA WHILE LOOP NA DO WHILE LOOP

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Kotlin.

Sandwich
HOTLIN SOMO LA 9: JINSI YA KUTUMIA FOR LOOP

Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye kOTLIN. Loop zimegawanyika katika makundi mnne ambayo ni for loop, while loop, for in loop na do while loop.

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 8: JINSI YA KUTUMIA WHEN

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu when case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Kotlin.

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 7: JINSI YA KUTUMIA IF NA IFELSE KWENYE KOTLIN

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu namna ambavyo program inaweza kufanya maamuzi kulingana na mashart fulani.ama namna ambavyo program inaweza ku run code zaii ya mara moja kulingana na mashart. Hapa tutazingumzia flow of control statement

Sandwich
KOTLIN SOMO LA 6: STRING KWENYE KOTLIN

Katika somo hili tutakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na string kwenye Kotlin.