KOTLIN somo la 20: method na properties za map
Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Map ni ana ya data ambazo zinakuwa na key na value.mfano {jina=bongoclass, umri=5, mmiliki=binafsi, hali=ipo hai}. Hapa jina ni key na bongoclass ni value. Hivyo hivyo kwenye umri ni key na 5 ni value….
Unaweza kutengeneza map kabla ya kuiwek kwneyemchakato, kama nilivyofanya hapo juu. Ama unaweza kuweka data kisha map itatengenezwa wakati program inapo run kama hapo chini. Nimetengeneza map ya website kwa kutumia mutableMapOf.
fun main() {
val websites = mutableMapOf<String, Any>()
websites["jina"] = "bongoclass"
websites["umri"] = 5
websites["mmiliki"] = "binafsi"
websites["hali"] = "ipo hai"
println(websites)
}
{jina=bongoclass, umri=5, mmiliki=binafsi, hali=ipo hai}
Map properties:
- `keys` hutumika kupata keys za map
- `values` hutumika kupata values za map
- `size` hutumika kupata idadi ya item
- `isEmpty` kuangalia kama map ni tupu
- `isNotEmpty` kuangalia kama map sio tupu
fun main() {
val websites = mutableMapOf<String, Any>()
websites["jina"] = "bongoclass"
websites["umri"] = 5
websites["mmiliki"] = "binafsi"
websites["hali"] = "ipo hai"
println("keys")
println(websites.keys)
println("values")
println(websites.values)
println("size")
println(websites.size)
println("isEmpty")
println(websites.isEmpty())
println("isNotEmpty")
println(websites.isNotEmpty())
}
Map methods
- `putAll()` hutumika kuongeza item kwenye map
fun main() {
val website = mutableMapOf("jina" to "bongoclass", &qu...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 ai web app 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
HOTLIN somo la 9: Jinsi ya kutumia for loop
Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye kOTLIN. Loop zimegawanyika katika makundi mnne ambayo ni for loop, while loop, for in loop na do while loop.
Soma Zaidi...Kotlin Somo la 32: Utangulizi wa Database na MySQL
Somo hili linaeleza msingi wa database, kwa nini tunazitumia, aina za database, na utangulizi wa MySQL. Pia tutaona jinsi Kotlin inaweza kuunganishwa na MySQL kwa ajili ya kutekeleza CRUD operations (Create, Read, Update, Delete).
Soma Zaidi...KOTLIN somo la 16:baadhi ya method na properies zinazofanya kazi kwenye string
Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...KOTLIN somo la 3: Jinsi ya kuandika variable
Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ya kuandika variable kweye Kotlin. pia utakwenda kujifunza kuhusu concatnation na interpolation
Soma Zaidi...Kotlin somo la 22: Package kenye kotlin
Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya package, kazi zake, aina zake na jinsi zinavyotumika
Soma Zaidi...Kotlin somo la 24: Dhana ya Module katika kotlin
Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu dhana ya module. Hata ivyo tutakwenda kuisoma zaidi kwenye android App
Soma Zaidi...