Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Kotlin loop za for loop na while loop.
Break statement:
Hii hutumika pale ambapo unahitaji ku stop code zisiendelee ku excute yaani kufanya kazi kama sharti fulani litafikiwa. Kwa mfano kwneye ile tebo yetu ya saba tunaweza kukatisha katikati.
Mfano tunataka tebo yetu ya saba iishie kwenye 8 kisha iishie hapo. Kufanya hivi tutatumia break statement. Itatubidi tutumie if else ili kuweka shari. Kwa mujibu wa mano wetu itabidi tuangalie je imeshafka kwenye 8, kama tayari tutakwenda ku break.
if (x == 8) {
break;
}
fun main() {
print("TEBO YA 7")
for (x in 1..12) {
println(7 * x)
if (x == 8) {
break
}
}
}
Sasa tukitaka kuendelea na na 9 yaani turuke 8 tuendelee kwenye 9, kufanya hivi tutatumia continue statement. Ila utofauti hapa utaanza na kutweka masharti kabla ya kuprint.
fun main() {
print("TEBO YA 7")
for (x in 1..12) {
if (x == 8) {
continue
}
println("${x}*7 = ${x *7}")
}
}
Utaona hapo 8*7 haipo kabisa. Kwa mfano tunaweza kuruka kutoka 5 hadi 8 kusha kuendelea na 9
fun main() {
print("TEBO YA 7")
for (x in 1..12) {
if (x >=5 && x<=8) {
continue;
}
println("${x}*7 = ${x *7}")
}
}
Wacha tuchanganye operator nyingine. Sasa tunataka kuruka 3, 5, 6, 7 na 8.
fun main() {
println("TEBO YA 7")
for (x in 1..12) {
if (x== 3 || x >=5 && x<=8) {
continue;
}
println("${x}*7 = ${x *7}")<">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.
Soma Zaidi...Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja na method ambazo hufanya kazi kwenye set.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin zinazofanya kazi kwenye namba.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na kazi za kotlin. Pia utakwenda kujifunza kuhusu uhusiano wake na java.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza library yetu wenyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya kuandika function na kuweka parameter kwenye function
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya package, kazi zake, aina zake na jinsi zinavyotumika
Soma Zaidi...Katika soomo hili utakwenda kujifunza kuhusu class, maana yake, na jinsi ya kuitengeneza
Soma Zaidi...