Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Kotlin.
While loop hii hutumika endapo hujui kama code zako zinatakiwaku run mara ngapi. Yenyewe hii ni rahisi sana kutumia. Unachotakiwa kufanya ni kuweka sharti (condition) kisha zitafuata code.
While (condition){
Code
increment/ decrement
}
fun main() {
println("ORODHA YA NAMBA")
var x = 1
println(x)
while (x < 12) {
x++
println(x)
}
}
Wacha tuone jinsi ambavyo tutaweza kutengeneza tebo yetu ya 7 kwa kutumia while loop.
fun main() {
print("TEBO YA 7");
var x = 0;
while(x <12){
x++;
println("${x}*7= ${x *7}");
}
}
Do while loop
Hii ni sawa na while loop ila utofauti wao ni kuwa do while loop yenyewe kwanza itanza na ku run code ">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na kazi za kotlin. Pia utakwenda kujifunza kuhusu uhusiano wake na java.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin zinazofanya kazi kwenye namba.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza jinsi ambavyo class moja inaweza kuriti method na properties kutoka kwenye class nyingine.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu dhana ya module. Hata ivyo tutakwenda kuisoma zaidi kwenye android App
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Kotlin function. Pia tutakwenda kuona mambo mengine yanayohusu function
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza tofauti wa library na package
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana na features za object oriented Programming
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu nadharia ya package, kazi zake, aina zake na jinsi zinavyotumika
Soma Zaidi...