Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu when case na jinsi inavyofanya kazi kwenye Kotlin.
Katika somo hili tutakwenda kutumia mifano yetu ya somo lililotangulia ili kuweza kujienga uelewa zaidi.
Jinsi ya kuandika switch case
when(expression){
Case -> code
Else{
code
}
}
Ukiangalia hapo ni kuwa utaanza na keyword when utaweka mabano () kama kawaid ndani yake ni value tunayotaka ku test ikufuatiwa na mabano {}. Kisha utaweka sharti unayotaka ku test kisha utawka nukta pacha ( -> ). Baad aya hapo ni code ambazo zita run kisa utakuja kumalizia na else ambayo itatua matokeo kama masharti hayajafikiwa.
Wacha tuone mambo yanavyokuwa:
Tunataka ikiwa umri wa mtoto ni miaka 7 aambiwe aende shule.
fun main() {
val umri = 7
when (umri) {
7 -> print("aende shule")
}
}
Sasa tunataka kama ni chini ya kiaka 7 aambwe hajafika umri, na kama miaka 7 aambiwe aende shule, na kama ni miaka 13 au zaidi aambiwe aende mmemkwa">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza tofauti wa library na package
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin zinazofanya kazi kwenye namba.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza library yetu wenyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Kotlin loop za for loop na while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya kuandika function na kuweka parameter kwenye function
Soma Zaidi...Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye kOTLIN. Loop zimegawanyika katika makundi mnne ambayo ni for loop, while loop, for in loop na do while loop.
Soma Zaidi...Jinsi ya kuchukuwa user input kwenye Kotlin kwa ajili ya kuongeza user interaction kwenye program.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana na features za object oriented Programming
Soma Zaidi...