KOTLIN somo la 18: string na method zinazotumika kwenye list data type.
Katika somo hili tutajifunza method zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Kotlin.
Katika somo hili tutatumia mifano kwenye list yetu hii ['bongoclass', 'facebook', 'google', 'youtube', 'microsoft'].
List properties
Hizi ni sifa ambazo kila list lazima ziwe nazo.
First hii itatuonyesha item ya mwanzo kabisa mwa hiyo list.
fun main() {
val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")
println(list1.first())
}
Hii itakupa bongoclass
isEmpty hii itupa majibu true kama list haina kitu ama false kama ina kitu.
fun main() {
val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")
println(list1.isEmpty())
}
Hii itakupa jibu false.
isNotEmpty hii itaangalia kama list haina kitu itatupa jibu true na kama ina kitu itatupa jibu
false.
fun main() {
val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")
println(list1.isNotEmpty())
}
Hii itakupa jiu true
size hii itaangalia idadi ya item kwenye hiyo list kwa mfano hapo itatupa jibu 5.
fun main() {
val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")
println(list1.size)
}
Hii itakupa jibu 5
last hii itatuonyesha item ya mwisho.
fun main() {
val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")
println(list1.last())
}
Hapo itakupa jibu microsoft
reversed hii itapangilia tena list kutoka mwisho kuja mwanzo.
fun main() {
val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")
println(list1.reversed())
}
single hii itafanya kazi tu kama item kwenye list ni moja, itadisplay item hiyo, kama ni zaidi ya moja haitafanya kazi.
fun main() {
val list1 = listOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")
println(list1.isNotEmpty())
println(list1.size)
println(list1.last())
println(list1.reversed())
println(list1.singleOrNull())
}
Kuongeza item kwenye list
add() hii hutumika kuongeza item moja mwishoni mwa list.
fun main() {
val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")
list1.add("github")
println(list1)
}
addAll hii hutumika kuongeza item zaidi ya moja kwenye list.
fun main() {
val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")
list1.addAll(listOf("github", "instagram", "telegram"))
println(list1)
}
insert hii hutumika kuongeza item kwenye list sehemu unapotaka kwa kutumia index.
fun main() {
val list1 = mutableListOf("bongoclass", "facebook", "google", "youtube", "microsoft")
list1.add(2, "apple")
println(list1)
}
insertAll hii ni sawa na insert ila inaongeza item zaidi ...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 Kitau cha Fiqh 👉3 ai web app 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
KOTLIN somo la 15: ainza za parameter kwenye function
Katika somo hili tutakwenda kuzungumzia kuhusu parameter kwenye Kotlin function. Pia tutakwenda kuona mambo mengine yanayohusu function
Soma Zaidi...KOTLIN somo la 13: Jinsi ya kuandika function na kuweka parameter
Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya kuandika function na kuweka parameter kwenye function
Soma Zaidi...KOTLIN somo la 2: sheria na kanuni za uandishi wa code za Kotlin
Katika somo hili unakwenda kujifunza kuhusu sheria na kanuni za undishi wa code za Kotlin yaani syntax za kotlin.
Soma Zaidi...Kotlin somo la 24: Dhana ya Module katika kotlin
Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu dhana ya module. Hata ivyo tutakwenda kuisoma zaidi kwenye android App
Soma Zaidi...KOTLIN somo la 16:baadhi ya method na properies zinazofanya kazi kwenye string
Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...KOTLIN somo la 6: string kwenye Kotlin
Katika somo hili tutakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na string kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...