Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye kOTLIN. Loop zimegawanyika katika makundi mnne ambayo ni for loop, while loop, for in loop na do while loop.
For loop
Hii ni moja katika njia ya kurun code mara nyingi zaidi kulingana na masharti husika. For loop hutumika kama unaelewa ni mara ngapi code zako zinatakiwa ku run. Tuchukulie mfano tunataka kutengeneza tebo ya 7. Hapa code zetu zita run mara 12.
Jinsi ya kuandika for loop
For (mashart ){
Code
}
Kwa mfano sisi tunakwenda kuandika tebo ya saba. Hivyo tunaweka x ambayo ni value itakayopatikana kutoka kwenye sharti letu. Sharti ni kuwa tutaanza kuzidisha 7 na 1 mpaka tufike 12. Hivyo tutaandika x in 1..12 hii ina maana x ni thamani kuanzia 1 hadi 12. Angalia mfano hapo chini:-
fun main() {
print("TEBO YA 7")
for (x in 1..12) {
println(7 * x)
}
}
Kuna namna zaidi tunaweza kuboresha code zetu. Ni kwa kutumia ${} hii hutumika kuweza kutumia interpolation (rejea string interpolation kwenye somo la type of data).
fun main() {
print("TEBO YA 7")
for (x in 1..12) {
println("${x}*7 =${x*7}")
}
}
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na kazi za kotlin. Pia utakwenda kujifunza kuhusu uhusiano wake na java.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu dhana ya module. Hata ivyo tutakwenda kuisoma zaidi kwenye android App
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza library yetu wenyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Kotlin loop za for loop na while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu set data type pamoja na method ambazo hufanya kazi kwenye set.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza jinsi ya kushughulika na string kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...