Katika somo hili tutajifunza kuhusu method na properties za Kotlin zinazofanya kazi kwenye namba.
Kukadiria namba
Chukulia mfano 10/3 = 2.5. Sasa tukiikadiria hapa tutapata 3. Kufanya hivi tutatumia method ya roundToInt(). Kwanza tuta import math library. Library hii inahusu mahesabu tu. tunakuja jifunza zadi jinsi ya kutengeneza library yetu wenyewe masomo yanayofuata.
import kotlin.math.roundToInt
fun main() {
val jibu: Double = 10.0 / 4.0
println(jibu)
println(jibu.roundToInt())
}
Kuangalia sifa za namba yani properties:
Namba shufwa (isEven)
Hii itatoa jibu true ikiwa kweli na false ikiwa si kweli. Tutashtua kama 4 ni shufwa
fun main() {
val isEven: (Int) -> Boolean = { it % 2 == 0 }
println(isEven(4))
}
Kutengeneza hashcode ya namba (hashCode)
Hii itakuletea hashcode ya namba husika. Kwa mfano, neno “bongoclass” tunakwenda kuitengenezea hashcode
fun main() {
val number = "bongoclass"
println(number.hashCode())
}
2084316335
Kunagalia kama namba ni hasi tutatumia isNegative
Kuangalia kama namba ni infinit - haina mwisho tutatumia isInfinit
Kuangalia kama namba ni finit - ina mwisho tutatumia isFinite
Kuangalia kama namba sio negative - hasi tutatumia isNan
Kuangalia kama namba ni witiri yaani odd tutatumia isOdd
fun isInfinit(number: Double): Boolean = number.isInfinite()
fun isFinite(number: Double): Boolean = number.isFinite()
fun isNan(number: Double): Boolean = number.isNaN()
fun isOdd(number: Int): Boolean = number % 2 != 0
fun main() {
val number = 4.0
Check conditions for a Double
println(isInfinit(number))
println(isFinite(number))
println(isNan(number))
Check condition for an Int
println(isOdd(4))
}
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutajifunza kuhusu method za String zinazotumika kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana na features za object oriented Programming
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu operator na aina zake.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza maana ya function, jinsi ya kuandika function na kuweka parameter kwenye function
Soma Zaidi...Katika somo hli utakwend akujifunza kuhusu loop kwenye kOTLIN. Loop zimegawanyika katika makundi mnne ambayo ni for loop, while loop, for in loop na do while loop.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu break na continue kwenye Kotlin loop za for loop na while loop.
Soma Zaidi...Katika soomo hili utakwenda kujifunza kuhusu class, maana yake, na jinsi ya kuitengeneza
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza library yetu wenyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...