VYAKULA HATARI KWA MWENYE VIDONDA VYA TUMBO


Wataalamu wa afya wanatuhakikishia kuwa vyakula sio sababu ya kutokea kwa vidonda vya tumbo. Ila vyakula vinaweza kusababisha hali ya maumivu na shida za vidonda vya tumbo kuwa kubwa na mbaya zaidi. Makala hii inakwenda kukuorodheshea vyakula ambavyo ni hatari kwa mwenye vidonda vya tumbo


Vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo
1.Vyakula vyenye mafuta mengi

2.Matunda yenye uchachu sana huenda yakawa hatari kama asili ya vidonda vyako ni asidi ya tumboni

3.Maziwa ; maziwa yanaweza kupunguza maumivu ya vidonda vya tumbo ila yanasababisha hali kuwa mbaya zaidi baadaye

4.Vyakula vyenye pilipili kwa wingi huwenda vikafanya maumivu yako kuwa makali.

5.Matumizi ya chokoleti; kwa baadhi ya watu inaweza kusababisha maumivu kuzidi.

6.Vyakula vyenye gesi kama maharagwe yasiyo ya soya.

7.Matumizi ya soda