Je! vitu vichachu kama,machungwa twarusiwa kula wagonjwa wa vidonda vya tumbo?

Nashukuru kwa ushauri, Je!

Je! vitu vichachu kama,machungwa twarusiwa kula wagonjwa wa vidonda vya tumbo?

Nashukuru kwa ushauri, Je! vitu vichachu kama,machungwa twarusiwa kula wagonjwa wa vidonda vya tumbo?



Namba ya swali 002

Ni vyema kupata ushauri wa daktari kwanza. maana kama sababu ya vidonda vyako ni Asidi (tindikali) vitu hivi sio vizuri kwani vinaongeza asidi (tindikali) na kusababisha hali kuwa mbaya zaidi. Hivyo si vyema kutumia kwa wingi vitu vya uchachu kwa vidonda vya tumbo visababishwavyo na asidi (tindikali)



Namba ya swali 002

Ahasante



Namba ya swali 002

Karibu tena ukiwa na swali ama maoni



Namba ya swali 002
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Vyakula Main: Afya File: Download PDF Views 1171

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉3 Madrasa kiganjani    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 Simulizi za Hadithi Audio   

Post zinazofanana:

JITIBU KWA KITUNGUU THAUMU: faida za kiafya za kitunguu thaumu

Kitunguu thaumu ni katika viungo vya mboga na chakula.

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula tango

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango

Soma Zaidi...
Faida za kafya za kula asali

Post hii itakwenda kukufundisha faida za kiafya za kula asali

Soma Zaidi...
Vyakula vya kuongeza damu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kuongeza damu

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula karanga

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga

Soma Zaidi...
VYANZO VYA VYAKULA VYA FATI, PROTINO NA WANGA NA FAIDA ZAKE

Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote

Soma Zaidi...
Faida za ubuyu

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu

Soma Zaidi...
Upungufu wa protini na dalili zake

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa protini na dalili zake

Soma Zaidi...