Faida za kiafya za kula ubuyu

Faida za kiafya za kula ubuyu

Faida za kiafya za kula ubuyu



faida za kiafya za ubuyu

  1. ubuyu una virutubisho kama  vitamini C na B, pia ubuyu una madini ya calcium, chuma, potassium na magnesium. Pia ubuyu una protini na fati
  2. Husaidia katika kupunguza uzito
  3. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu
  4. Hupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya saratani na kisukari
  5. Husaidia mwili kupambana na mashambulizi ya mara kwa mara
  6. Huborsha mfumo wa mmeng’enyo wa chakual
  7. Husaidia mwili kujilinda dhidi ya maradhi ya moyo
  8. Hulinda utumbo na tumbo dhidi ya vidonda vya tumbo.

 



                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 2846

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 ai web app     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 web hosting     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Vyakula vya vitamin B

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin B

Soma Zaidi...
Faida na hasara za kufunga (Intermittent Fasting).

​Kufunga kwa vipindi (Intermittent Fasting) sio mlo maalumu, bali ni mtindo wa maisha unaohusu kubadili nyakati unazokula badala ya aina ya chakula unachokula. Mbinu hii imepata umaarufu mkubwa ulimwenguni kwa ahadi yake ya kupunguza uzito na kuboresha afya ya jumla. Makala haya yanachambua nini hasa hufanyika mwilini unapotumia mtindo huu ili uweze kufanya uamuzi sahihi.

Soma Zaidi...
Faida za kula chungwa na chenza (tangarine)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula chungwa na chenza (tangarine)

Soma Zaidi...
Maumivu ya tumbo baada ya kula

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya kula

Soma Zaidi...