Faida za kiafya za kula samaki

Faida za kiafya za kula samaki

Faida za kiafya za kula samaki



Faida za kiafya za kula samaki

  1. samaki wana virutubisho kama protini, fati, vitamini kama vitamini D na madini mbalimbali kama iodine.
  2. Hupunguza hatari ya kupata maradhi ya moyo kama shambulio la moyo na stroke
  3. Ni chakula kizuri kwa ukuaji bora wa mtoto
  4. Husaidia katika ukuaji wa ubongo na afya ya ubongo
  5. Hupunguza stress na misongo ya mawazo
  6. Ni chanzo kikubwa cha vitamini D
  7. Hulinda mwili dhidi ya kupata kisukari
  8. Huzuia pumu kwa watoto
  9. Huboresha afya ya macho hasa kwa wazee
  10. Husaidia kupata usingizi mwororo
  11. Samaki ni chakula kitamu.


                   

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Vyakula Main: Post File: Download PDF Views: 3032

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 ai web app     👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 Simulizi za Hadithi Audio     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Umuhimu wa kutumia maembe kiafya.

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia maembe kiafya, tunajua wazi kuwa maembe ni tunda ambalo lina umuhimu kwenye afya na uwa na vitamini C kwa hiyo tunapaswa kujua faida zake kama ifuatavyo.

Soma Zaidi...
Faida za kiafya za kula maboga

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maboga

Soma Zaidi...
Matunda yenye vitamin C kwa wingi

Somo hili linakwenda kukuletea matunda yenye vitamin C kwa wingi

Soma Zaidi...
Faida za kula Karoti

Umeshawahi kula karoti mbichi, ama ya kupikwa, je unazijuwa faida zake? soma makala hii

Soma Zaidi...
Faida za chungwa na chenza ( tangarine)

Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za chungwa na chenza mwilini

Soma Zaidi...