Hapo zamani ilifahamika kuwa chanzo cha vidonda vya tumbo ni vyakula. Lakini ukweli ni kuwa vyakula si chanzo cha vidonda vya tumbo ila vinaweza kufanya dalili za vidonda vya tumbo kuwa mbaya sana. Hata hivyo kuna vyakula vinapendelewa na ni salama kwa wenye vidonda vya tumbo. Makala hii inakwenda kukutajia vyakula ambavyo vinashauriwa kutumiwa na wenye vidonda vya tumbo:-
Vyakula vizuri kwa wenye vidoonda vya tumbo
1.Kabichi
2.Maziwa yaliyosindikwa
3.Maharagwe ya soya yaliyosindikwa
4.Jibini
5.Matango
6.Viazi vitamu
7.Vitunguu thaumu
8.Tangawizi
9.Nyegere na maepo
10.Vyakula vyenye vitamini C kwa wingi.
11.Njegere