Papai lililo iva ni salama kwa mama mjamzito au halifai
Papai ni moja kati ya matunda yenye vitamini C na virutubisho vinginevyo. Lakini papai pia ni moja kati ya vyakula ambavyo mjamzito anatakiwa awe makini navyo.
Swali
Papai lililo iva ni salama kwa mama mjamzito au halifai
Jibu
Papai lililowiva halina shida ila si vyema akalila kwa wingi. Mjamzito anatakiwa ajiepushe na kula Malawi ambayo hayajawiva vyema. Pia awe makini na ulaji wa mananasi pia ale kwa uchache.
Vyakula vizuri kwa mjamzito:
1. Matunda
2. Samaki
3. Mboga za majani
4. Maziwa
5. Mayai yaliyopikwa
Mjamzito anatakiwa ale vyakula vyenye virutubisho kwa wingi kwa ajili ya afya yake na ya mtoto.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 ai web app 👉3 Kitabu cha Afya 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
Faida za kula tikiti
Ukubwa wa tikiti unasadifu yaliyopo, kwani kuna fgaida akubwa sana za kiafya katika kula tikiti
Soma Zaidi...Faida za kula Nazi
Nazi ni katika matunda bora sana kiafya, Soma faida zake kwa afya yako
Soma Zaidi...