Faida za kiafya za kula Spinachi

Faida za kiafya za kula SpinachiFaida za kiafya zakula Spinachi

  1. mboga hii ina virutubisho kama vitamini A, C, na K, pia madini ya chuma sodium, calcium and mangenesium. Pia mboga hii ina fati na wanga.
  2. Husaidia katika kupunguza uzito
  3. Huboresha afya na macho
  4. Huboresha afya ya mifupa
  5. Hushusha presha ya damu (hypertension)
  6. Husaidia mwili kurelas
  7. Husaidia katika mapambano  dhidi ya saratani
  8. Ni nzuri kwa afya ya ngozi
  9. Hulinda mwili dhidi ya anaemia
  10. Huboresha mfumo wa kinga


                   Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 209


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-