Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa chai
Faida za kunywa chai
1. Hupunguza hatari ya kupata shambulizi la moyo na stroke.
2. Husaidia katika kupunguza uzito
3. huimarisha na kuboresha afya ya mifupa
4. Huboresha afya ya meno
5. Huimarisha mfumo wa kinga
6. Husaidia katika kupambana na saratani
7. Huboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kw
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kungumanga/nutmeg
Soma Zaidi...Post hii itakufundisha madhara ya kuwa na mafuta mengi mwilimi
Soma Zaidi...Posti hii itakwenda kukupa faida za kula samaki kwenye mwili wako.
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa protini na dalili zake
Soma Zaidi...