VIRUTUBISHO VYA WANGA
Wanga ni moja kati ta virutubisho vikuu vitatu, vingine ni fat na protini. Kazi kuu ya wanga ni kutupatia nishati ama nguvu. Wanga ni katika sukari ambazo zinapatikana kwenye vyakula na ndani ya miili yetu. Tunaweza kupata virutubisho hivi kwenye vyakula na mimea.Kazi za wanga
1.Kazi kuu ya wanga ni kutupatia nguvu yaani nishati
2.Husaidia katika kuvunjavunja fati mwilini
3.Hupunguza matumizi ya protini kwa ajili ya kuzalisha nishati
4.Hutumika katika kutengenezea bidhaa na madawaYAKULA VYA WANGA
1.Mahindi
2.Mtama
3.Mihogo
4.Viazi
5.Ngano
6.Mikate
7.Mtama
8.Mchele
9.Keki
10.Krosho
11.Karanga
12.Ndizi
13.Nyama
14.Mayai
15.MaziwaUpungufu wa wanga
Endapo virutubisho vya wanga vitapungua mwilini athari zitakazotokea ni:-
1.kukosa nguvu ya kutosha
2.Kuwa dhaifu
3.Mwili utashindwa kufany akzi vyema