Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula ubuyu
faida za kiafya za ubuyu
1. ubuyu una virutubisho kama vitamini C na B, pia ubuyu una madini ya calcium, chuma, potassium na magnesium. Pia ubuyu una protini na fati
2. Husaidia katika kupunguza uzito
3. Husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu
4. Hupunguza uwezekano wa kupata maradhi ya saratani na kisukari
5. Husaidia mwili kupambana na mashambulizi ya mara kwa mara
6. Huborsha mfumo wa mmeng’enyo wa chakual
7. Husaidia mwili kujilinda dhidi ya maradhi ya moyo
8. Hulinda utumbo na tumbo dhidi ya vidonda vya tumbo
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vimpasavyo mgonjwa wa kisukari
Soma Zaidi...Ukubwa wa tikiti unasadifu yaliyopo, kwani kuna fgaida akubwa sana za kiafya katika kula tikiti
Soma Zaidi...