Makala hii inakwenda kukueleza kuhusu fati, vyakula vya fati, kazi zake na athari za upungufu wake
FATI, MAFUTA NA LIPID
Fati ni moja kati ya virutubisho vikuu vitatu ambavyo ni wanaga an protini. Fati imetengenezwa na chembechembe za kaboni na haidrojen. Fati, mafuta na lipid ni maneno mawili yanayohusiana lakini kuna utofauti kidogo. Tunaposema lipid tunamaanisha fati na mafuta. Tunaposema fat tunamaanisha lipid iliyo katika hali ya yabisi (kitu kigumu) na tunaposema mafuta ni lipid iliyo katika hali ya kimiminika. Lakini mara nyingi tunaposema fati tunajumuisha vyote yaani lipi na mafuta.
Kazi za fati mwilini
1. Husaidia katika utengenezwaji wa nishati mwilini
2. Husaidia katika kuipa joto miili yetu
3. Husaidia katika kulinda sehemu za ndani za miili yetu
4. Husaidia katika utoaji wa taarifa mbalimbali ndani ya mwili
5. Husaidia protini kufanya kazi zake vyema
6. Husaidia katika ukuaji wa kiumbe
7. Husaidia katika kuboresha mfumo wa kinga mwilini
8. Husaidia katika mfumo wa uzalianaji
Vyakula vya fati
1. Mapalachichi
2. Siagi
3. Maziwa
4. Mayai
5. Karanga na jamii za karanga kama korosho
6. Mbegu za chia
7. Samaki
8. Choklet
9. Nazi
10. Nyama
11. Maharagwe ya soya
12. Alizeti
Upungufu wa fati
1. Kukauka kwa ngozi na ukurutu
2. Mupata maambukizi ya mara kwa mara
3. Kupona kwa vidonda kuliko hafifu
4. Kuchelewa kukua cha watoto
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi juu ya madini ya zinki na faida zake katika mwili wa binadamu,
Soma Zaidi...Posti hii moja kwa moja inaenda kuelezea vyakula vya nyuzinyuzi zinazopatikana kwenye matunda na mboga mboga.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kula vitamini C kupitiliza
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukipa faida za madini ya chumvi mwilini.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula karanga
Soma Zaidi...