Faida za kiafya za kula Zaituni

Faida za kiafya za kula ZaituniFaida za kiafya za kula Zaituni

  1. zaituni lina virutubisho kama protini, sukari, fati, pia lina vitamini E, madini ya chuma, shaba, calcium na sodium
  2. Husaidia katika kulinda mwili dhidi ya saratani na mashambulizi ya vimelea vya maradhi
  3. Huboresha afya ya moyo
  4. Husaidia kuboresha afya ya mifupa
  5. Husaidia katika kudhibiti fati kwenye damu
  6. Hususha presha ya damu

                    Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 92


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-