Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula miwa
Faida za miwa
1. Husaidia katika kuipa miili yetu nguvu kwa haraka Sana
2. Husaidia kwa wenye tatzo la saratani hasa kwa wenye type 1 diabetes
3. Hulinda mwili dhidi ya maradhi ya saratani
4. Hulinda afya ya Figo
5. Huboresha kinga ya mwili
6. Hulinda mfumo wa mmeng'enyo wa chakula uwe katika hali ya usalama
7. Hulinda afya ya kucha
8. Huboresha afya ya meno na kuzuia meno kubenduka ama kuoza
9. Huboresha afya ya ngozi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tikiti
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna au njia za kuandaa mdalasini kwa ajili ya tiba ya homoni imbalance kwa wanawake.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida anazozipata mtu anayekula mayai hasa wakati wa kifua kinywa, tunajua wazi kuwa mayai yana kiwango kikubwa cha protini pamoja na hayo kuna faida nyingi za kutumia mayai hasa wakati wa asubuhi kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu lishe salama kwa mjamzito
Soma Zaidi...