Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu aina za vyakula vya wanga na umuhimu wake mwilini
VYAKULA VYA WANGA
1. Mahindi
2. Mtama
3. Mihogo
4. Viazi
5. Ngano
6. Mikate
7. Mtama
8. Mchele
9. Keki
10. Krosho
11. Karanga
12. Ndizi
13. Nyama
14. Mayai
15. Maziwa
Kazi za wanga
1. Kazi kuu ya wanga ni kutupatia nguvu yaani nishati
2. Husaidia katika kuvunjavunja fati mwilini
3. Hupunguza matumizi ya protini kwa ajili ya kuzalisha nishati
4. Hutumika katika kutengenezea bidhaa na madawa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Madhara ya upungufu wa protini ni mengi kiafya. Miongoni mwa madhara hayo ni..
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mayai
Soma Zaidi...Umeshawahi kuumwa na dawa yako ikawa maji? Huwenda bado basi hapa nitakujuza kidogo tu, juu ya jambo hili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi magonjwa nyemelezi kwa watoto wadogo chini ya miaka mitano,. Ni magonjwa yanayowapata watoto wadogo kwa sababu kinga Yao bado ni ndogo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya hatari kwa mjamzito hasa mimba changa
Soma Zaidi...