UTANGULIZI

"let food be thy medicine and medicine be thy food"

Haya ni maneno ya Kigiriki, kuhusu vyakula. maneno haya yanamaanisha "fanya chakula chako kiwe ni dawa na dawa yako iwe ni chakula chako. Maneno haya yanahamasisha 

matumizi ya vyakula kuwa ni dawa kwetu. Katika makala hii nitakwenda kukujuza baadhi tu ya vyakula na mboga ambazo ni dawa kwa maradhi yetu. Makala hii pia ipo kwenye kitabu chetu. Unaweza kukipata kitabu hiki bure kwenye maktaba yetu.

 

Makala hii i muendelezo wa makala zetu za afya kutoka kwenye kitabu cha matunda na mboga. Tunatarajia msomaji wetu utanufaika zaidi na makala hii.