Kuna faida kubwa za kiafya kwa kula ndizi, soma makala hii mpaka mwisho
10.Ndizi (banana).
Ndizi zina vitamin na madini, ndizi zina madini ya potassium kwa kiasi kikubwa sana. Moja katika sifa kuu ya ndizi ni kuwa na carb makeup. Carb ni ukijani uliopo kwenye ndiri ambayo haijaiva. Ukijani huu una starch kwa wingi ambao husaidia katika kuthibiti sukari kwenye damu. Na kuimarisha mmengβenyo wa chakula.
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukuletea kazi za virutubisho vya protini mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za vyakula vya vitamin B
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya kuongeza damu
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula tango
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama
Soma Zaidi...