Posti hii inahusu faida za kunywa maji kabla hujula kitu chochote,tunajua kabisa kabla ujala au kunywa chochote sumu nyingi mwilini zinakuwa hazijachanganyikana na chochote kwa hiyo tunapaswa kujua kuwa kuna faida kubwa nyingi za kunywa maji kama ifuatavy
Faida za kunywa maji kabla ya kula chochote.
1. Uondoa sumu mwilini.
Kwa kunywa maji sumu nyingi mwilini zinaweza kuondolewa kwa urahisi na maisha yanaendelea.
2. Uboresha metabolic.
Kwa kawaida aina ya vyakula ili kufanya kazi vizuri mwilini usaidiwa na maji ambayo usafilisha vyakula hivi kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa urahisi.
3. Kupunguza uzito.
Kwa kawaida unywaji wa maji usaidia kupunguza uzito kwa kiasi kikubwa kwa asilimia kubwa watu wanaokumywa maji kwa wingi usababisha uzito kupungua.
4. Maji usaidia kupunguza kiungulia na matatizo mengine ya umengenywaji wa vyakula.
5. Uimarisha ngozi.
Kwa kawaida watu wale wanaokumywa maji kabla ya kula chochote ngozi zao uwa ni raini sana na zinakuwa zimeimarika.
6. Uzuia kuwepo kwa mawe kwenye figo.
Kuwepo kwa mawe kwenye figo Usababishwa na kutokunywa maji kwa hiyo kwa wanywaji wa maji kabla ya kunywa au kula chochote wana kiasi kikubwa cha kupata Ugonjwa wa Mawe kwenye kibofu.
7. Maji uongeza kinga ya mwili.
Kwa kunywa maji kwa wingi kinga ya mwili uweza kuongezeka na mwili hauwezi kupata magonjwa kwa urahisi.
8. Kwa hiyo tunapaswa kunywa maji kwa wingi hasa kabla ya kula au kunywa chochote kwa sababu yana faida nyingi sana mwilini.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula vya vitamini na faida zake
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za karoti na umuhimu wake kiafya
Soma Zaidi...Hii ni orodha ya matunda yenye vitamini C kwa wingi sana ikiwemo machungwa, mapera na mapapai
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula pera
Soma Zaidi...hapa Tutakwenda kuona Vyakula Vya vitamini B, kazi za Vitamini B na dalili za Upungufu wa Vitamini B mwilini
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...