Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula korosho
27. Faida za kiafya za kula korosho
1. husaidia kuimarisha afya ya misuli na mishipa ya neva (mishipa ya fahamu)
2. Hupunguza hatari ya kupata kisukari
3. Husaidia matibabu ya saratani
4. Husaidia katika utengenezwaji wa seli hai nyekundu za damu
5. Huimarisha mfumo wa kinga
6. Husaidia katika kuimarisha afya ya kinywa (meno ) na mifupa
7. Hupunguza athari za maradhi ya anaemia yaani upungufu wa hewa ya oksijeni mwilini
8. Hupunguza hatari ya kutengenezwa vijiwe kwenye kibofu
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kunywa maziwa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu lishe salama kwa mjamzito
Soma Zaidi...Somo hili litakwenda kukueleza kuhusu faida za chungwa na chenza mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi
Soma Zaidi...