JAVASCRIPT

Sandwich
GAME 3: MCHEZO WA KUFIKIRIA NAMBA KWA KUTUMIA JAVASCRIPT

Hii ni game ambayo utafikiria namba, ambayo inatakiwa iwe sawa na namba ambayo game imeiweka.

Sandwich
GAME 2: JINSI YA KUTENGENEZA TIC TOC GAME YA SINGLE PLAYER KWA KUTUMIA JAVASCRIPT, HTML NA CSS

Katika post hii utakwenda kujifunza kutengeneza game ya tic toc ya mchezaji mmoja na kompyuta yaani single player

Sandwich
GAME 1: JINSI YA KUTENGENEZA GAME YA TIC TOC YA WACHEZAJI WAWILI KWA KUTUMIA HTML, CSS NA JAVASCRIPT

Katika post hii utakwenda kujifundisha jinsi ya kutengeneza game ya tic toc ya wachezaji wawii kwa utumia html, css na javascript

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 24: JINSI YA KUTENGENEZA ONLINE KEYBOARD

Katika project hii utakwenda kufunza jinsi utakavyoweza kutengeneza keyboard ya online kwa kutumia javascript

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 23: JINSI YA KUTENGENEZA CALCULATOR YAANI KIKOKOTOO CHA HESABU KWA KUTUMIA JAVASCRIPT

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kutumia javascript kutengeneza kikokotoo cha hesabu yaani calculator

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 22: JINSI YA KU SET TIME NA TAREHE

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu ku set time. Yaani tutaweka muda ambao code zinatakiwa ndio zilete matokeo.

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 21: JINSI YA KUTUMIA WHILE LOOP NA DO WHILE LOOP

Katika somo hili tutakwenda kujifunza khusu while loop na do while loop.

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 20 JINSI YA KUTUMIA FOOFLOOP KWENYE JAVASCRIPT

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia forOfLoop. Hii ni aina ya loop ambayo yenyewe inahusisha item zote kwenye array.

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 19: JINSI YA KUTUMIA LOOP KWENYE JAVASCRIPT

Katika somo hilibtutakwenda kujifunza kuhusu loop. Katika programming tunaposema loop tunamaanisha ile hali ya program ku excute code zaidi na zaidi. Tofauti na kurudia rudia kuandika statement moja kwa ajili ya kupata matokeoa hayohayo basi unapotumia lo

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 18: JINSI YA KUTUMIA SWITCH CASE KWENYE JAVASCRIPT

Kwa kutumia mfano huu na iliyotangulia unaweza kuweka masharti kadiri uwezavyo. Tukutane somo linalofuata tutajifunza kuhusu switch statement.

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 17: CONDITION STATEMENT ZA IF ELSE, ELSE IF KWENYE JAVASCRIPT

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu condition statemant. Darasa hili ni moja katika madarasa muhimu programming. Katika somo hili tutajifunza kwa vitendo zaidi. Tutatumia mifano ya somo lililo tangulia.

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 16: JINSI YA KUTUMIA HTML FORM KWENYE JAVASCRIPT

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku dili na html form kwenye javascript. Javascript inaweza kufanya mengi kwenye html form.

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 15: JINSI YA KUKUSANYA USER INPUT

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu user input. Somo hili litaangalia html form na attribute zake na jinsi zinavyohusiana na user input. Mwisho wa somo hili utaweza kutengeneza simple Calculator kwa kutumia javascript.

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 14: JIFUNZE KUHUSU EVENT KWENYE JAVASCRIPT

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu javascript events. Event ni neno la Kiingereza lenye maana tukio wingi wake events kumaanisha matukio. Natumia ni kila ambacho kinatokea kwenye javascript.

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 13: FUNCTION ZINAZOFANYA KAZI KWENYE ARRAY.

Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array pamoja na method zinazohusiana na array. Pia nitakujuza tena kuhusu array ni nini. Utajifunza pia jinsi ya kutengeneza array.

Sandwich
JAVASCRIPT - SOMO LA 12: FUNCTION ZINAZOTUMIKA KWENYE NAMBA

Katika somo hili utajifunz kuhusu baadhi ya function ambazo hutumika kwenye namba