Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku dili na html form kwenye javascript. Javascript inaweza kufanya mengi kwenye html form.
Kama tulivyo jifunza kwenye somo lililotangulia. Tunaweza kupata value ya data zilizomo kwenye form kwa kutumia .value. Tofauti na tulivyojifunza hapa itatubidi tuunganishe form id na input type id kisha ndipo tutumie value.
Umuhimu wa somo hili ni kuja kukusaidia katika kuthibitisha taarifa. Tutalifanyia kazi sana somobhili wakati wa kujifunza condition statement.
Tutakwenda hatuwa kwa hatuwa ili tuweze kufikia malengo ya somo yaweze kufikiwa.
Taarifa ambazo tunakwenda kuziangalia kwenue html form ni pamoja na
Hizi zotebkwa pamoja zinaitwa form attribute. Rejea kwenye mafunzo yetu ya html level 2.
<title>User input</title>
<form id="form" method="post" action="processor.php">
<input id="data" name="name" value="" >
<input type="button" onclick="myFnc()" value="check">
</form>
Kisha tutatengeneza paragraph ya html ambayo itakwenda ku display tada zetu. Kumbuka kuipa id hiyo paragraph. Nitakwenda kuipa id ya myP
<p id="myP"></p>
...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu array pamoja na method zinazohusiana na array. Pia nitakujuza tena kuhusu array ni nini. Utajifunza pia jinsi ya kutengeneza array.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kupangilia muonekano wa maandishi (text) wakati wa ku out put matokeo ya code
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu javascript events. Event ni neno la Kiingereza lenye maana tukio wingi wake events kumaanisha matukio. Natumia ni kila ambacho kinatokea kwenye javascript.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza ku display matokeo ya code za javascript.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza sheria ama syntax za kuandika javascript. Hii itakuwezesha kuelwa zaidi code za javascript.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia forOfLoop. Hii ni aina ya loop ambayo yenyewe inahusisha item zote kwenye array.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia logical operator kwenye javascript. Katika somo hili tutakwenda kutumia mahesabu.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu ku set time. Yaani tutaweka muda ambao code zinatakiwa ndio zilete matokeo.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data ambazo hutumika kwenye javascript
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifundisha jinsi ya kutengeneza game ya tic toc ya wachezaji wawii kwa utumia html, css na javascript
Soma Zaidi...